Uongozi wa Habari Faster Blog, Unakutakiwa heri ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Tunakuombea Heri katika Majukumu yako ya kuliongoza Taifa hili, Mwenyezi Mungu tunaomba akupe afya njema.