TANGAZO

TANGAZO

PICHA: MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA VIONGOZI WA NMB

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Benk ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu Bi. Ruth Zaipuna, Mazungumzo hayo yamefanyika Jijini Dodoma.



Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com