TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS DKT. SAMIA NA WAKUU WA NCHI MBALIMBALI BARANI AFRIKA KWENYE MKUTANO WA NISHATI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Wakuu wa Nchi mbalimbali barani Afrika na Viongozi wengine wakishiriki Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2025.









Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com