Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia Mabalozi pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Januari 14, 2025.
Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com