TANGAZO

TANGAZO

HABARI PICHA: DKT. BITEKO NA NAIBU WAZIRI JUDITH KAPINGA WAKIJADILIANA JAMBO BUNGENI


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akijadiliana jambo na Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga Bungeni Jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Februari 03, 2025.