TANGAZO

TANGAZO

PICHA: MAAFISA NA ASKARI WA JESHI LA NCAA WAKIWA KATIKA MAZOEZI YA MWISHO WA WIKI

 


Maafisa na Askari wa Jeshi wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) wakiwa katika mazoezi ya mwisho wa wiki kama sehemu ya ratiba ya kila wiki kufanya mazoezi kwa ajili ya kuimarisha utimamu wa mwili, kuimarisha afya kwa ajili ya kujikinga na maradhi mbalimbali na kuwa tayari kimwili na kiakili katika utekelezaji wa majukumu ya ulinzi na uhifadhi wa maliasili za Wanyamapori na misitu.







Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com