TANGAZO

TANGAZO

PICHA: WAZIRI BALOZI CHANA ALIVYOWASILI OFISI ZA TTB DAR

 


Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akiwasili katika  Ofisi za Makao Makuu ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) jijini Dar es Salaam  leo Februari 19,2025 kwa ziara ya kikazi.

Mhe. Chana alipokelewa na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania, Bw. Ephraim Mafuru,  Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania, Mhe.Balozi, Dkt.Ramadhani Dau, Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.Hassan Abbasi,  Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii (anayeshughulikia Utalii ) Nkoba Mabula na Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Dkt.Thereza Mugobi.




Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com