TANGAZO

TANGAZO

PICHA ZA MUONEKANO WA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU DODOMA


Muonekano wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Dodoma ambao Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo itasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja huo kesho tarehe 13 Februari 2025 saa 3:00 Asubuhi Eneo la Viwanja Changamani vilivyopo Nzuguni Dodoma.



Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com