TANGAZO

TANGAZO

WASIRA AZUNGUMZA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI

  

Leo tarehe 18/2/2025 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen M. Wasira amefanya mazungumzo na Mhe.Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, katika

Ofisi  ndogo ya  makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam. 



Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamebadilishanamawazo katika namna mbalimbali yanayohusu ushirikiano wa nchi ya Tanzania na Korea.
mawazo katika namna mbalimbaanayohshirikiwa nchi yTanzania na Korea.