Baraza la Wanawake Chadema Taifa wamejitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Ambapo Kitaifa Kitaifa linaadhimisha siku hii katika mkoa Dar es salaam, katika ukumbi wa Mlimani City.