TANGAZO

TANGAZO

PICHA: KATIBU MKUU LUHEMEJA ATETA NA WATUMISHI WA NEMC KANDA YA ZIWA

 


Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja amewatembelea na kuzungumza na watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Kanda ya Ziwa jijini Mwanza wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Semesi.





Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com