TANGAZO

TANGAZO

PICHA: MAJALIWA MGENI RASMI MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR’AN


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 08, 2025 ni mgeni rasmi kwenye fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Afrika Mashariki na Kati.






Mashindano hayo yanafanyika katika uwanja wa mpira wa miguu wa Azam, uliopo Chamanzi jijini Dar es Salaam.


Mashindano hayo yameandaliwa na Taasisi ya Mana’hil al Irfan Foundation.

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com