TANGAZO

TANGAZO

PICHA: MAKAMU WA RAIS AKIFANYA MAZUNGUMZO NA WASIRA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Mhe. Stephen Wasira wakati wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) leo tarehe 08 Machi 2025.




Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com