Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Katibu wa NEC (Uchumi na Fedha) wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Frank Hawassi kufuatia kifo cha Mke wake Bi. Damaris Hawassi wakati alipowasili kushiriki msiba huo Miyuji Jijini Dodoma tarehe 21 Machi 2025.
![]() |





