TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS DKT. SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM WA RAIS WA DRC IKULU




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi hiyo Mhe. Thérèse Kayikwamba Wagner, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025. 





Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com