TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNESCO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuatana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi Audrey Azoulay,  wakati Mkurugenzi huyo alipofika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2025.






Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com