Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola 🇦🇴 kuwasilisha Ujumbe maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluh Hassan , wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿 kwa Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola.










