TANGAZO

TANGAZO

PICHA: WAZIRI MKUU AKIAGANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA CCM BAADA YA KUMALIZA ZIARA MKOANI TABORA


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 14, 2025 akiagana na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kumaliza ziara ya siku mbili katika mkoa wa Tabora kwenye wilaya za Nzega na Igunga.





Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com