TANGAZO

TANGAZO

PICHA: WAZIRI MKUU ASHIRIKI SWALA YA EID RUANGWA




Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 31, 2025 ameshiriki swala ya Eid, iliyofanyika kiwilaya katika Kata ya Ruangwa Mtaa wa Maghalani Wilayani Ruangwa.