Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefuturisha Viongozi wa Siasa, Serikali, Dini na Makundi Maalum Wilaya ya Chake chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar.