TANGAZO

TANGAZO

MAJALIWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 29, 2025 ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari, inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Gran Melia jijini Arusha.


Maadhimisho hayo yanalenga kubadilishana mawazo na kufanya majadiliano kuhusu fursa na changamoto katika sekta ya habari.



Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com