TANGAZO

TANGAZO

PICHA : MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali kushiriki Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma. Tarehe 18 Aprili 2025.










Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com