TANGAZO

TANGAZO

PICHA: MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA 15 CHA KAMATI YA SJMT NA SMZ IKULU

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza Kikao cha 15 cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili 2025.





















Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com