Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ahitimisha Ziara yake ya Kiserikali nchini Angola kwa kutembelea Kiwanda cha Mafuta cha Luanda Oil Refinery nchini humo.