TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA AKUTANA NA MMILIKI WA KLABU YA MANCHESTER UNITED


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam.




















Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com