TANGAZO

TANGAZO

VIONGOZI MBALIMBALI WA WIZARA YA NISHATI WALIVYOTINGA BUNGENI UWASILISHWAJI WA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI 2025/2026 (+PICHA)


Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake wakiwa bungeni jijini Dodoma ikiwa ni siku ya uwasilishwaji wa Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa mwaka 2025/2026. 


Hotuba hiyo itawasilishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko.























Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com