Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), tarehe 26 Mei 2025, jijini Dodoma.