Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa mwaka 2025-2030 katika Mkutano Maalum wa CCM Taifa unaofanyika katika siku ya pili Jijini Dodoma.