TANGAZO

TANGAZO

PICHA : MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI DODOMA

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kambarage mkoani Dodoma leo tarehe 08 Mei 2025.






Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com