TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA AMKARIBISHA TANZANIA RAIS WA FINLAND

 


Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amkaribisha Tanzania mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mheshimiwa Alexender Stubb ambaye amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu.









Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com