TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA AELEKEA DODOMA KWA TRENI YA SGR

 


Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekea Dodoma kwa kutumia Treni ya SGR kushiriki zoezi la kuboresha taarifa katika Daftari ya kudumu la Mpiga kura.