TANGAZO

TANGAZO

ZIARA YA 'AMKA TWENDE NA SAMIA 2025' YA UVCCM MTWARA YAHITIMISHWA KWA KISHINDO

 



Ziara ya 'AMKA TWENDE NA SAMIA 2025' inayoongozwa na Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mtwara,  Ndugu Abuu Athumani Yusuphu yahitimishwa kwa kishindo Mei 15, 2025 ndani ya Wilaya ya Mtwara Mjini kwa kishindo.


Wananchi wa Mtwara watuma ujumbe kuwa wako tayari kushiriki uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 2025 na wananchi waahidi kukichagua Chama Cha mapinduzi na Wagombea wake wote wakiongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan.


Wamesema kuwa kufanya hivyo wameamua kulipa wema waliotendewa kwa kuletewa maendeleo makubwa kwenye sekta Zote na Chama cha Mapinduzi Chini ya Mwenyekiti wake Dkt. Samia Suluhu.



Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com