Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt.Jim Yonazi akifuatilia mada wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Nane la Dunia la Kupunguza Madhara ya Maafa unaoendelea Mjini Geneva Uswisi kuanzia tarehe 02 hadi 6 Juni 2025. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Tathmini na Ufuatiliaji Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Bw. Charles Msangi.
PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU