TANGAZO

TANGAZO

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KWENYE MAADHIMISHO SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 26, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.


Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni: “Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya Dawa za Kulevya”.

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com