TANGAZO

TANGAZO

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA UZINDUZI WA KIWANDA CHA KUNJENJUA SHABA

 



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 18, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa kiwanda cha uchenjuaji madini ya Shaba cha MAST kilichopo Chunya mkoani Mbeya.


Akizungumza katika tukio hilo, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali kwa kutambua umuhimu wa uwekezaji kwa maendeleo ya taifa, imeendelea kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini kupitia Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji.









Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com