TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA AKIMUAPISHA JAJI MASAJU KUWA JAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.