Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Nyamikoma Wilayani Busega mara baada ya kuwasili Mkoani Simiyu kwa ajili ya kuanza Ziara ya Kikazi tarehe 15 Juni, 2025.
Katika ziara yake mkoani Simiyu, Mhe. Rais Dkt. Samia atafungua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.
![]() |