TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA AWASILI MWANZA AKIELEKEA MKOANI SIMIYU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Mwanza akiwa njiani kuelekea Bariadi Mkoani Simiyu kwa ajili ya ziara ya Kikazi mkoani humo.