TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA NA RAIS WA AfDB WAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE MSALATO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)Dkt. Akinumwi Adesina wakagua maendeleo ya ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato Jijini Dodoma.














Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com