TANGAZO

TANGAZO

WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MZEE MONGELA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 3, 2025 amehani msiba wa Mzee  Silvin Ibengwe Mongella ambaye ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es salaam









Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com