TANGAZO

TANGAZO

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAENDELEO WA DENMARK



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Maendeleo wa Denmark Mhe. Elsebeth Søndergaard Krone kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliyofanyika ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika Jijini Sevilla nchini Uhispania. Tarehe 01 Julai 2025.








Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com