TANGAZO

TANGAZO

MAKAMU WA RAIS AWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA KIA KWAAJILI YA KUFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LITAKALO FANYIKA JULAI 10


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo tarehe 09 Julai 2025 wakati akielekea Mkoani Arusha kwaajili ya kufungua Kongamano la Kimataifa la Watunga Sera wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Bara la Afrika litakalofanyika tarehe 10 Julai 2025.





Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com