TANGAZO

TANGAZO

WAZIRI JAFO ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SABASABA


Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo ametembelea katika banda la Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Taasisi zake ili kupata elimu kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama SABASABA yanayoendelea Jijini Dar es Salaam yenye Kauli Mbiu inayosema “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa sabasaba, Fahari ya Tanzania” leo tarehe 02 Julai, 2025.











(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com