Leo Agosti 05, 2025 Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Mstaafu, Ndugu Jamal Rwambow amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo na kupokelewa na Kiongozi wa Chama, Ndugu Dorothy Semu kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichofanyika katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Dar es salaam.