TANGAZO

TANGAZO

KWALA INDUSTRIAL PARK ITAWEZA KUHIFADHI MAKASHA 3,395 KWA MWAKA


Chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, Kwala Industrial Park imeungwa pia na bandari Kavu ya kisasa inayowezesha kuhifadhi na kushughulikia mizigo kwa ufanisi, ambapo muda wa kutoa mizigo (clearing time) umepunguzwa hadi masaa 24 pekee Kwala, jambo linalorahisisha usafirishaji wa mizigo, kupunguza msongamano wa malori, na kuongeza kasi ya biashara. 

Bandari hii ina uwezo wa kuhifadhi makasha 823 UTs kwa siku (sawa na makasha 3,395 kwa mwaka), huku makasha ya ziada ya 30% ya mizigo yote ikihifadhiwa, hivyo kuongeza tija na kurahisisha mchakato wa kibiashara kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com