TANGAZO

TANGAZO

LAINI ZA SIMU ZILIFIKIA MILIONI 86 MWAKA 2024



Chini ya Rais Samia, idadi ya laini za simu za mezani na kiganjani imeongezeka kutoka 51,292,702 hadi 85,836,107, ongezeko la 34,543,405 sawa na 67.35%.

 Ukuaji huu unaonyesha kupanuka kwa sekta ya mawasiliano, kuimarika kwa huduma za kifedha kupitia simu (mobile money) na kuongeza mchango wa TEHAMA katika Pato la Taifa.

Kwa kulinganisha, Kenya ina jumla ya laini za simu takriban 55 milioni, huku Uganda ikiwa na takriban 23 milioni, jambo linaloonyesha kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa zaidi katika upanuzi wa huduma za simu na TEHAMA ukilinganisha na nchi jirani.

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com