Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina ameondoka Chama cha Mapinduzi (CCM)na Kutimkia ACT - WAZALENDO leo Agosti 5, 2025 huko Vuga Visiwani Zanzibar, Mpina amepokelewa na Viongozi Wakubwa wa Chama hicho aliwemo Dorothy Semu, Zitto Kabwe na Ado Shaibu.