Mtia nia wa Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akishiriki kupiga kura za maoni uchaguzi wa ndani wa chama hicho,leo Jumatatu,Agosti 4,2025 katika kata ya Mlowa, jimbo la Makambako mkoani Njombe.
Ndugu Chongolo anachuana na aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo hilo Ndugu Deo Kasenyanda Sanga.