Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameongoza Viongozi mbalimbali na Watanzania waliojitokeza kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai leo tarehe 10 Agosti 2025 katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.