TANGAZO

TANGAZO

WANANCHI WAJITOKEZA ENEO LA MSUNJULILE ANAPOZIKWA HAYATI NDUGAI

 



Wananchi wajitokeza eneo atakalozikwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai katika Kijiji cha Msunjulile, Kitongoji cha Mandumbwa wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma leo 11 Agosti, 2025.



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza waombolezaji katika zoezi la kumpumzisha Hayati Ndugai katika Nyumba yake ya Milele.






Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com